cover
如无法播放或有错误,请刷新重试或点此 反馈 给我们
Hallo-Senny Motion.mp3
Hallo - Senny Motion  歌词:...
[03:07.00]Weee
[03:07.00]Acha niseme yale yalofanya niwe nawe
[03:07.00]Nasema leo
[03:07.00]We eweee
[03:07.00]Ulinifanya mfalme
[03:07.00]Ukanipa moyo nitawalee
[03:07.00]Nasema leoo
[03:07.00]Naa..
[03:07.00]We ni langu fungu amenipa maulana
[03:07.00]Aah nana naaa
[03:07.00]Naa..
[03:07.00]Atuepushe na majungu
[03:07.00]Ya binadamu maana
[03:07.00]Ni mengi sanaaa aaagh!
[03:07.00]ALOOH ALOOH ALOOH
[03:07.00]itakuaje nkikukosaa
[03:07.00]Moyoni mwangu nshakuweka
[03:07.00]Na nana aaagh!
[03:07.00]ALOOH ALOOH ALOOH
[03:07.00]itakuaje nkikukosaa
[03:07.00]Moyoni mwangu nshakuweka
[03:07.00]Na nana aaagh!
[03:07.00]Nimeamini raha ya upendo
[03:07.00]Ikipotea huwa karaha
[03:07.00]Na we ndo nguzo yang ya upendo
[03:07.00]Ukiondoka ntaanguka
[03:07.00]Siko tayar kulivunja pendo lisilozibika
[03:07.00]Na moyo utatoboka
[03:07.00]We ukija kusepa
[03:07.00]Naa..
[03:07.00]We ni langu fungu amenipa maulana
[03:07.00]Aah nana naaa
[03:07.00]Naa..
[03:07.00]Atuepushe na majungu
[03:07.00]Ya binadamu maana
[03:07.00]Ni mengi sanaaa aaagh!
[03:07.00]ALOOH ALOOH ALOOH
[03:07.00]itakuaje nkikukosaa
[03:07.00]Moyoni mwangu nshakuweka
[03:07.00]Na nana aaagh!
[03:07.00]ALOOH ALOOH ALOOH
[03:07.00]itakuaje nkikukosaa
[03:07.00]Moyoni mwangu nshakuweka
[03:07.00]Na nana aaagh!
展开