[00:00.00]Baba Yetu - Reuben Kigame Na Sifa Voices
[00:27.44]Baba yetu wa mbinguni tunaleta sifa kwako
[00:34.56]Wewe hulinganishwi na yeyote duniani
[00:41.46]Mbingu na nchi zakusifu jua na mwezi vyakutukuza
[00:48.21]Wanyama wa pori ndege wa angani
[00:51.67]Sifa tele kwako bwana
[00:54.96]Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote
[01:01.78]Hoiye usifiwe hoiye milele bwana
[01:22.28]Tukiomba kwako baba sikio lako li wazi kwetu
[01:29.42]Macho yako yatuona sisi watoto wako
[01:36.29]Ulimtoa yesu mwana wako wa pekee
[01:43.06]Alikufa msalabani sasa tuko huru
[01:49.79]Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote
[01:56.59]Hoiye usifiwe hoiye milele bwana
[02:31.28]Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote
[02:37.83]Hoiye usifiwe hoiye milele bwana
[02:44.65]Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote
[02:51.53]Hoiye usifiwe hoiye milele bwana
[02:58.43]Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote
[03:05.22]Hoiye usifiwe hoiye milele bwana
[03:12.15]Hoiye sifa zetu hoiye ni zako zote
[03:19.08]Hoiye usifiwe hoiye milele bwana